TUWALINDE WATOTO DHIDI YA MANYANYASO KWANI WATOTO NI TAIFA LA KESHO
NAPENDA KUWASHUKURU WADAU WOTE WANAOJITOLEA KWA AJILI YA UTETEZI WA HAKI ZA WAJANE NA WATOTO. MKOANI MARA BADO MAMBO SIO MAZURI SANA HAKI ZA WATU HAZITHAMINIWI, TUZIDI KUONGEZA NGUVU KUTETEA HAKI ZA HAWA WENZETU AMBAO HAWATENDEWI HAKI